jeudi, septembre 19News That Matters
costumer - KANZU GROUP

POUR LA PROMOTION DE

L'ENTREPREUNEURIAT VERT

Logo-pour-chemise11

Rutshuru : Wahami wa Rutshuru wasikimbiliye kuji orozesha mahali ambapo walikimbiliya (Bunge Élie KAKULE NZAGHANI NZENDU) 

Mwanabunge Élie KAKULE NZAGHANI NZENDU,muchahuliwa na Muhami wa vita katika Tarafa la Rutshuru,  kupitiya kauliyake ambayo ametoa kwa mapasha Habari, amenena yakwamba *_Wakaaji wote wa Rutshuru wanaweza kuji orozesha kwenye vituo vya CENI wakitoa anuani (adresses) zote za vituo vya zamani, vya miji waliyo toka kwaku kimbiya vita. Tuna omba kuji horozesha kwenye kambi kihakuli ili tusipoteze sauti zetu wakati wa uchaguzi wama Bunge wajimbo nawale wa kitaifa, bilakusahau Raïs wa inchi. 

Katika maongezi yake na mapasha Habari, Élie NZAGHANI ame onesha kwamba kipindi hiki chaku orozesha wakaaji sicha muhimu sana kwaleo maana wakaajiwote wa Rutshuru wanaishi katika hali mubaya ya woga kutokana navita vyenye kusababishwa na magaidi wa M23 ambao wame yazibiti maeneo mengi ndani ya Tarafa la Rutshuru.

Zaidi sana kwetu Rutshuru, tunaishi na matatizo. Ndiyo maana tumezungumuza na wakuu viongozi tukiwaomba walete vyombo (Machines) zaku orozesha wakaaji  ndani ya vijiji ambavyo vinachungwa na Jeshi la Serkali (FARDC), yaani Kanyabayonga, Bulindi, Vitshumbi,…

Exaucé Kavatsawa. 

1 Comment

  • dbdzdvfmu

    Copyright © 2024 MediaNews Group The casinos with the best bonuses include Red Dog Casino, Wild Casino, and Big Spin Casino. Still, all of the online casinos listed in this article offer generous bonuses and promotional offers. Most casinos in India offer a welcome bonus (also called a signup bonus), which usually includes match bonus and free spins. Know what a signup bonus is, how to claim it, and make the most out of it. Reload bonuses are the next phase of welcome promotions. A welcome bonus will match a deposit at a certain rate, but it can only be used once by new members (which is why the match rate is usually high). Reload bonuses do the same thing (they match deposits at a certain rate) but are constantly available to all members (which is why the match rate is usually low). In other words, you qualify for a bonus every time you deposit with this online roulette bonus.
    https://gamemania55.com/ff15wiki/index.php?predforkaho1975
    Betfred doesn’t call them ‘free bets’ (since they’re not actually free), and has opted for the creative term ‘Fred Bets.’ They are one of the most common betting bonuses from Betfred, and are almost always how you get rewarded for taking part in promotions! Just because you’ll find odds boosts every day on Betfred Sports, doesn’t mean this shouldn’t be considered a promotion. Pretty much any oppourtunity for you to get some extra value out of a betting site is a bonus, and this give you the chance to bump up your profits everytime you long onto Betfred! Obtaining and applying these promotional codes is usually a simple process. Customers can locate these codes on Betfred’s main website, promotional emails, their social media platforms, or through affiliated marketing sites. Once a code is identified, it’s generally applied during the sign-up process for new users or in the deposit section for current users.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *

costumer footer - KANZU GROUP