Rutshuru M23 : Jiji la Kibirizi la wapokeya wahami kutoka KAHUMIRO
Jiji la kibirizi lawapokea tena WAHAMI kutoka kahumiro, eneo linalopatikana kwa umbali wa kilomètres 10 mashariki kusini mwa kibirizi, ngambo ya jito Rwindi.
WAHAMI Hao wanena kama wameogopa kufika kwa magaidi wa M23 katika eneo hilo Tangu usiku wakuamkia Léo tariki 8/2/2023, pia unyama wanaoufanya wahuni Hao wa M23.
Tayari hospitali kuu ya kibirizi, imewapokea wajeruhiwa wawili ambao wameumizwa kwa risasi na wahuni hao katika hilo eneo, Pia maafa yaripotiwa katika hilo eneo. Kwasasa mashule ndiyo makao yanayowapokea wahami wakimbizi hapo kibirizi.
Exaucé Kavatsawa.